Msanii kutoka kenya anae julikana kwa jina la PREEZOO amemshirikisha 
DOGO JANJA kwenye nyimbo yake mpya inayo julikana HAMSA 100 
ngoma hiyo inafanya vizuri kwenye chat za kupigwa redion na kwenye television 

Post a Comment

0 Comments