Waziri wa serikali ya awamu ya nne Prof. Mark Mwandosya ameingia katika list ya watu walionesha furaha yao baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi kuachiliwa leo kutoka gerezani ambapo alihukumiwa kifungo cha miezi mitano.

Post a Comment

0 Comments