Dudu Baya aokoka rasmi, Amshukuru Mtume Boniface Mwamposa kwa kumpa maisha mapya (+Picha)
Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Godfrey Tumaini almaarufu
Dudu Baya leo Jumapili Agosti 25, 2019 ameokoka rasmi kwa kufanyiwa
ibada na Mtume Boniface Mwamposa ‘Bull Dozer’ wa Kanisa la Inuka Uangaze
Kawe jijini Dar es Salaam.
0 Comments