Watanzania 17 wakiwemo wasanii wa muziki, waongozaji wa video za muziki, Watayarishaji wa muziki, Watangazaji na Madj’s wamechaguliwa kuwania tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) 2019 nchini Marekani.

 

Majina hayo ya Watanzania yamechagul.iwa katika vipengele tofauti tofauti, Huku Diamond Platnumz akiongoza kutajwa kwenye vipengele vingi zaidi akifuatiwa na Ommy Dimpoz na Alikiba waliotajwa mara mbili.
Wengine ni Vanessa Mdee, Nandy, Rayvanny, Harmonize, Jux, Lil Ommy, S2Kizzy, Kimamba, Laizer, Dj D-Ommy, Director Kenny, Bajuni, Navy Kenzo (Aika na Nahreel) na kundi la kucheza la Rabit Crew 255.
KIPENGELE CHA ‘BEST MALE IN EAST AFRICA’.
Alikiba, Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Rayvanny, Harmonize, Nyashinski (KE), The Ben (Rwanda), na Khaligraph Jones (KE)
BEST FEMALE IN EAST AFRICA.
Nandy, Vanessa, Vinka (Ug), Akothee (KE), Victoria Kimani (KE), Sheebah Karungi (Ug), Fena Gitu (KE), Knowles Butera (Rwanda), Rema Namakula (Ug) na Juliana Kanyomozi (Ug).
ARTIST OF THE YEAR
    
Vipengele vingine ni kama ifuatavyo:
Best Dj Africa
Dj Spinall – Nigeria
Dj Black Coffee – South Africa
Man Renas- Angola
DJ Jeff- Angola
Dj D-Ommy – Tanzania
DJ Slim- Ghana
Dj Neptune – Nigeria
DJ Ecool- Nigeria
DJ Tira – South Africa

    BYNadhiri and Official kimnanah

   


Post a Comment

0 Comments