Watu 19 wafariki katika mafuriko nchini China


Watu  19 wafariki katika mafuriko  yaliosababishwa na  mvua  nchini China
Watu 19 waripotiwa kufariki kkatika mafuriko yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini China.
Mvua kali zimenyesha  katika eneo la Kati la China.
Watu wengine 6  hawajulikani walipo kutokana na  mafuriko hayo.
Kulingana na  kituo cha habari cha Shinhua,  jimbo la Hubey limeathirika na mvua hizo  zilizonyesha kwa  wingi  Jumapili na kupelekea mafuriko.
Watu 61 wameokolewa  katika mafuriko hayo na wengine 13 walifariki.

Post a Comment

0 Comments