Bunge lasitisha safari zote za kikazi Nje ya nchi na matibabu

Bunge la Tanzania limesitisha safari zote za kikazi Nje ya Nchi hadi itakapoamriwa vinginevyo, taarifa ya Spika wa Bunge imeeleza kuwa safari za matibabu Nje ya Nchi kwa wanaogharamiwa na Bunge hasa kwenye nchi zenye wagonjwa wa Corona zitasitishwa kwa muda.


Post a Comment

0 Comments