Kampuni ya GSM ambayo ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC imeiandikia barua club hiyo na kueleza kuwa imesitisha huduma zote ilizokuwa inazitoa kwa club hiyo nje ya mkataba wao kwa sababu ya kutuhumiwa kuwa inapora madaraka viongozi wa Yanga
Designed by |lanez mzulu| Copyright (c) 2020 neezymusic.com All Right Reseved
Crafted with by TemplatesYard
0 Comments