HABARI ZA MASTAA Mwigizaji Maarufu Idris Elba apata ugonjwa wa Corona

HABARI ZA MASTAA
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu kutokea Marekani Idris Elba amethibitika Kuwa na virusi vya ugonjwa wa Corona
Kupitia kwenye ukurusa wake wa Twitter amepost video fupi akiwa na mkewe akizungumza kupata Ugonjwa huo japo anaendelea vizuri kiafya.
This morning I tested positive for Covid 19. I feel ok, I have no symptoms so far but have been isolated since I found out about my possible exposure to the virus. Stay home people and be pragmatic. I will keep you updated on how I’m doing πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ No panic – Idris Elba

Post a Comment

0 Comments