Hotel aliyolala mgonjwa wa Corona Arusha yafungwa (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema jana kuwa tayari wameshafunga Hotel ambayo alipatikana mgonjwa wa Corona na kwamba hakuna anaeruhusiwa kutoka wala kuingia ndani ya Hotel hiyo kwa sasa.

Post a Comment

0 Comments