KWA RONALDO HAKUNA MAPUMZIKO, PAMOJA NA CORONA YEYE NA MAZOEZI TU

Pamoja na wanamichezo wengi kujipa mapumziko kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona, mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameposti picha akiwa gym anafanya mazoezi na ndugu na jamaa zake. Wengine kutoka kushoto ni Rodrigo Pereira, mpwa wake Alicia, dada yake Katia, Eleanor Caires na dada yake mwingin

Post a Comment

0 Comments