MICHEZO Michuano ya Olympic yasogezwa mbele hadi 2021

Kamati ya kimataifa ya Olympic (IOC) imekubali kuahirisha michuano ya Olympic iliyokuwa ifanyike mwaka 2020 nchini Japan.
Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe baada ya kushauriana na kamati ya ndani ya Olympic na IOC (International Olympic Comittee wamekubaliana kuahirisha michezo kwa mwaka mmoja mbele.
Olympic iliyokuwa ipigwe mwaka huu nchini Japan katika jiji la Tokyo sasa itapigwa 2021 na sio tena 2020 kama ilivyokuwa inatarajiwa kwa sababu ya virusi vya corona.

Post a Comment

0 Comments