Ostaz Juma na Musoma amkataa Babu Tale sio meneja “Ile tuzo alifanya mchongo tu, hana hata msanii aliyemtoa” (Video)

Meneja aliyewahi kufanya kazi na Dogo Janja, Suma Mnazareti, Sharomilionea, Kitale, PNC pamoja na wasanii wengine amefunguka kuzungumzia hela ambayo aliwekeza kwenye muziki pamoja na fitina ambazo amewahi kufanyiwa.

Post a Comment

0 Comments