Pep Guardiola hakubaliani mechi kuchezwa bila mashabiki

Kocha wa Man City Pep Guardiola ameeleza mtazamo wake kuhusiana na kinachoendelea katika soka katika nchi mbalimbali Ulaya.
Guardiola ameweka wazi kuwa kuzuiwa kwa mashabiki au mechi kuchezwa bila kuwepo na mashabiki uwanjani ni bora mechi zenyewe zisichezeke kabisa kwani haina maana mechi kuchezwa bila mashabiki.
”Kama watu watakuwa hawaruhusiwi kuingia uwanjani kuangalia mechi haitakiwa na maana yoyote, nisingependa kucheza bila uwepo wao uwanjani”>>> Pep Guardiola

Post a Comment

0 Comments