Shilole : Diamond huu ni mwaka wa pili haujatekeleza ahadi yako (Video)TOP STORIES
Msanii wa muziki, Shilole Jumatatu hii ameutambulisha uongozi wake mpya mbele ya waandishi wa habari pamoja na mipango wake mipya. Katika utambulisho huo muimbaji huyo aliweza kuzungumzia mambo mbalimbali hukusu maisha yake pamoja na ahadi ambayo aliitoa Diamond wakati anaolewa na Uchebe. Katika hatua nyingine Shilole amedai moja ya vitu ambavyo anavijutia kwenye maisha yake ni kuchota tattoo, amedai moja na tattoo ambaye anaijutia ni ile aliyechora Zebra ambayo ni alama za barabarani.

Post a Comment

0 Comments