Siri yafichukua mpenzi wa msanii Whozu ambaye ni Tunda kwenda kwa msanii wa Nigeria Otike anayeishi Marekani – Video

Siri yafichukua mpenzi wa msanii Whozu ambaye ni Tunda kwenda kwa msanii wa Nigeria Otike anayeishi Marekani – Video

Picha na video zikawa zinasambaa zikionesha wapo pamoja sehemu tofauti tofauti Hasa Hasa za starehe,comments zikawa ni nyingi sana kwa @cappuccino_tunda @whozu_ na @otike mwenyewe na sintofahamu nyingi kujua nikweli #Whozu kanyang’anywa tonge mdomoni ama ni kipi kina endelea!
Lakini kwa sasa tayari imeshakuwa wazi ni kitu gani kilikuwa kinaendelea baina ya #Otike na #Tunda ambacho ni video mpya iitwayo #DearPrincess ambayo #Tunda katumika kama #VideoVixen na sio kama watu wengi walivyodhania!

Post a Comment

0 Comments