Tazama RC Mwanri alivyojiandaa kupambana na Corona “msizue taharuki” (+video)

Kufuatia kubainika kwa Mgonjwa Corona nchini Viongozi wa Serikali, Taasisi, Wadau wa Maendeleo na Viongozi wa dini wamekusanyika katika ukumbi wa Isike Mwanakiyungi Mkoa wa Tabora kupata elimu juu ya kujikinga na virusi.
katika taarifa ya ufunguzi iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesema wao kama Mkoa wameanza kuchukua tahadhari ikiwemo kuanza kutoa elimu kwa jamii.


Post a Comment

0 Comments