TOP STORIES Maamuzi magumu kisa Corona “Mahabusu hawataletwa Mahakama, tutatumia Video Conference” (+video)

Katika kukabiliana na Ugonjwa wa Corona, Mahakama Kuu ya Tanzania imesema kuwa kuanzia kesho March 25, 2020 Mahabusu hawatafikishwa mahakamani bali utatumika mfumo wa Video Conference.
Hayo yamebainishwa na Jaji Mfawidhi Kanda ya Dar es Salaam, Lamecky Mlacha Kuanzia kesho mahabusu hawataletwa, tutatumia Mfano wa Video conference kutatua tatizo la msongomano,”
CORONA: MALALAMIKO YA MAMA ALIETAKIWA KWENDA KARANTINI, WAZIRI AJIBU


Post a Comment

0 Comments