Umoja wa Ulaya wakubaliana kufunga mipaka

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kufunga mipaka yao na kupiga marufuku Raia wa kigeni wasiingie Ulaya kwa siku 30 ili kudhibiti kuenea kwa corona, waathirika wa corona wameongezeka Barani Ulaya hadi kufikia zaidi ya 60,000 na vifo ni takribani 2,700.
Uamuzi huo umefikiwa katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video na kudumu kwa zaidi ya saa tatu na kuungana pamoja katika juhudi za kuvidhibiti virusi hivyo ambavyo vimesababisha hasara za kiuchumi Duniani.

Post a Comment

0 Comments