Wagonjwa wa corona wafikia 14 Uganda

Uganda imethibitisha wagonjwa wengine watano wa corona leo na kufanya idadi ya wagonjwa kufikia 14 “wagonjwa wawili ni Wachina na watatu Raia wa Uganda,kati ya hawa watatu wa Uganda yumo Mtoto wa miezi 8 na Mwanaume ambaye hajawahi kusafiri nje wala kuwa karibu na Raia wa kigeni”.

Post a Comment

0 Comments