CORONA: Iran yakataa misaada kutoka Marekani

TOP STORIES
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Abbas Moussavi amesema Iran kamwe haitokubali msaada kutoka Marekani katika mapambano dhidi ya corona.
“Marekani wameomba kutusaidia sisi,inashangaza maana wao wenyewe wanahitaji msaada, Marekani ni adui yetu mkubwa, zaidi ya adui corona” Iran
Marekani na Iran wamekuwa kwenye mzozo wa muda mrefu lakini vita yao ilishika kasi zaidi pale Marekani ilipomuua Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran, Qassem Soleimani.

Post a Comment

0 Comments