Cristiano Ronaldo akinyolewa na mkewe nyumbani (+Video)

Nyota wa Mpira wa Miguu duniani , anaechezea katika Club ya Juventus Cristiano Ronaldo akiendeleza kampeni ya kutulia ndani bila kufanya mizunguko ama shughuli yoyote kwa kipindi hiki cha Janga la Corona Virus
Sasa kupitia hii clip ameonekana staa huyo wa mpira akinyolewa na mkewe aitwaeGeorgina Rodriguez

Post a Comment

0 Comments