Dkt Hassan Abbasi: Mpaka sasa tuna zaidi ya watu 500 wanaofuatiliwa maambukizi ya Corona

 “Mpaka sasa tuna zaidi ya watu 500 wanaofuatiliwa ikiwa wanamaambukizi ya COVID-19, kutokana kuwa karibu na watu waliokutwa na maambukizi, wapo tuliowapima na kuwakuta hawana maambukizi. “Tanzania tumejifunza sana jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, tumechukua hatua zote muhimu kulingana na mazingira ya nchi yetu na tunaendelea kufanya tathmini na kama kuna jambo lolote la kuchukua hatua tutachukua”- Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.

“Tanzania tumejifunza sana jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, tumechukua hatua zote muhimu kulingana na mazingira ya nchi yetu na tunaendelea kufanya tathmini na kama kuna jambo lolote la kuchukua hatua tutachukua”-Dkt. Hassan Abbasi

Post a Comment

0 Comments