HABARI ZA MASTAA Masanja kajisalimisha kwa DC Dodoma kuhojiwa

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji tayari amewasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma kuitikia wito uliotolewa jana na DC Patrobas Katambi, ambaye alimtaka Masanja kujisalimisha ofisi ya mkuu wa Wilaya au Polisi kwa mahojiano bada ya kuwahoji Watu Dodoma kuhusu corona.
Bonyeza PLAY hapa chini kwa taarifa kamili.Post a Comment

0 Comments