HABARI ZA MASTAA PICHA: Mjengo mpya wa Kifahari aliochukua Harmonize kwaajili ya Kondegang


Mwimbaji Staa Harmonize ametuonesha picha za makao makuu ya mjengo wa lebo yake ya Kondegang ambao ni gorofa moja yenye sehemu ya kuogelea, sehemu ya kupumzikia N.K
Harmonize hajasema mjengo huo unapopatikana wapi bali ameshare picha na video huku akisifia kuwa ndiyo makao makuu ya timu yake ya Kondegang kufanyia kazi.
 

Post a Comment

0 Comments