Hatimaye PSG yatangazwa kuwa mabingwa baada ya ligi ya Ufaransa kufutwa

Ikiwa ni siku chache tu baada ya Serikali ya ufaransa kupiga marufuku Mikusanyiko yoyote mpaka mwezi September mwaka Huu, S hirikisho la soka Ufaransa limeitangaza club ya PSG kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini humo (Ligue 1) 2019/20 .
.
Na pia Shirikisho hilo limesema msimamo wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu.
Post a Comment

0 Comments