Mama wa Kocha wa Man City Pep Guardiola afariki kisa Corona akiwa na miaka 82, Man United wampa pole

Kupitia ukurasa wa Twitter wa klabu ya Manchester City imethibitisha kuwa mama mzazi wa kocha wa klabu hiyo Pep Guardiola amabye anajulikana kwa jina la Dolors Sala Carrió, amefariki dunia kutokana na virusi vya Corona! Mama amefariki akiwa na umri wa miaka 82.


9,504 people are talking about this

Post a Comment

0 Comments