MICHEZO Botafogo yampa ofa John Obi Mikel

Baada ya kuvunja mkataba na club yake nchini Uturuki kwa kigezo cha kutotaka kucheza wakati huu wa virusi vya corona, John Obi Mikel amepata ofa mpya.
Imeripotiwa John Obi Mikel amepewa ofa ya mshahara wa dola milioni 2 (Tsh Bilioni 4.6) kwa mwaka na kutoka club ya Botafogo ya nchini Brazil ili ajiujge nayo kwa mkataba wa miezi 18.
Mkataba huo kwa mujibu wa mwandishi wa ESPN atakuwa akilipwa mshahara mkubwa zaidi ya aliyokuwa anapewa katika club ya Trabzonspor ya nchini Uturuki.

Post a Comment

0 Comments