MICHEZO PICHA 5: FC Bayern Munich wameamua kuanza mazoezi

Club ya FC Bayern Munich imeanza mazoezi leo kwa mara ya kwanza baada ya kusimama kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona, Bayern wameanza mazoezi leo huku wachezaji wake wakijigawa katika makundi madogo madogo ili kuepuka mkusanyiko mkubwa wa pamoja.
Uongozi wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga ulishauri kuwa club zote za Bundesliga zisifanye mazoezi walau hadi April 5 2020, hivyo Bayern Munich April 6 wakaanza rasmi mazoezi, Robert Lewandowski na Kingsley Coman ni mongoni mwa wachezaji wa Bayern walioanza mazoezi.

Post a Comment

0 Comments