MICHEZO UEFA imeahirisha tena Champions League na Europa League

Shirikisho la soka Ulaya UEFA leo limetangaza maamuzi magumu kuhusiana na michuano ya UEFA Champions League na UEFA Europa League wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona.
UEFA wametangaza kuahirisha michuano yote hiyo kwa muda usiojulikana kutokana na mlipuko wa virusi vya corona kuendelea kushika kasi.
Licha ya kuwa imesimamishwa michuano hiyo kwa muda usiojulikana lakini inaripotiwa kuna inaweza kuendelea July au August 2020, hii pia ni kupisha Ligi za ndani ziweze kumalizika na kuangalia maambukizi ya corona kama yatakuwa yamepungu

Post a Comment

0 Comments