PICHA: Muonekano Mpya wa kifalme kutoka kwa Msanii Alikiba

Leo April 5, 2020 Mwimbaji Staa Alikiba amepost picha zinazomonesha muonekano wake mpya wakifalme unaoashiria huwenda akaileta video ya wimbo mpya hivi karibuni.
Alikiba amepost picha hizo kwenye ukurasa wake wa Instagram, picha zinazomuonesha akiwa Kwenye Muonekano wakifalme na huwenda ni ujio wa video ya wimbo wake mpya ambao mashabiki wamekuwa wakiusubiria kwa hamu.

Post a Comment

0 Comments