Rwanda imezuia mishahara kwa Wafanyakazi wote wa Serikali

Rwanda imesema Baraza zima la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Viongozi wa Idara za Umma na viongozi wengine ndani ya Serikali hawatapokea mishahara yao ya mwezi Aprili ili fedha hizo zitumike katika mapambano dhidi ya Coronavirus.

Post a Comment

0 Comments