Tanzia: Mtangazaji wa TBC Marin Hassan Marin afariki dunia

Mtangazaji mkongwe wa kituo cha teleisheni ya taifa (TBC) Marin Hassan Marin amefariki dunia leo asubuhi ya Aprili Mosi, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa TBC, Dkt Ayub Rioba ametangaza kifo hicho.

Post a Comment

0 Comments