TOP STORIES Taarifa kutoka Uganda visa vya Corona vyafikia 44

TOP STORIES
NI headlines za Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambae ametangaza maambukizi mapya ya watu 11 ya ugonjwa wa Covid-19 nchini humo, wakiwemo baadhi ya wanakwaya wa kwaya maarufu nchini humo ‘Watoto Children’s Choir.
Kupitia matangazo ya televisheni, alisema kuwa wagonjwa wote wapya walikuwa Quarantine baada ya kurejea kutoa ughaibuni , ingawa hakueleza kueleza afya zao zikoje kwa sasa na walikuwa wametoka taifa gani. Mpaka sasa Uganda imethibitisha kuwa na wagonjwa wa Corona 44.

Post a Comment

0 Comments