Wizara ya Afya Uganda imesema mtu mwingine mmoja amethibitika kuwa na corona na kufanya jumla ya visa vya corona kufikia 45 nchini humo>> “mgonjwa mpya ni Raia wa Uganda mwenye miaka 22 ambaye ni Mke wa mgonjwa mwingine ambaye aliingia Uganda akitokea Dubai March 20,2020”
0 Comments