VIDEO: CORONA: Vituo vya polisi na magereza yatoa agizo

Katika kukabiliana na Janga la Corona Serikali imetoa maagizo kwa Makamanda wa Polisi na Wakuu wa Magereza nchini kuhakikisha mahabusu wote ambao kesi zao zinadhaminika wanatolewa kwa kufuata utaratibu wa Sheria

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments