Barcelona yamuweka sokoni kiungo wake Ousmane Dembele

FC Barcelona imemuweka sokoni kiungo wake Mfaransa, Ousmane Dembele (22).

Walimsajili kwa ada ya paundi milioni 135.5 kutoka Borussia Dortimund mwaka 2017 na sasa wanamuuza kwa dau la paundi milioni 53.

Post a Comment

0 Comments