Calisah afungukia uhusiano wake na Wema Sepetu


Mwanamitindo maarufu nchini, Calisah amesema Wema Sepetu ni mmoja ya wapenzi wake ambao wanawasiliana sana na hata akitaka kwenda kwake hawezi kumkataza.
Calisah amesema “Wema ndiyo mtu ninaye wasiliana naye sana, haipiti siku mbili kama hatujaongea basi tutachati kwa wakati huo.
Ameongeza kwa kusema kuna meseji zake sijui nikuonyeshe ila nitaonekana nam-snitch kwa sababu vitaleta miyayusho na siwezi kuonyesha kila kitu ila hatuna matatizo yoyote”.
Pia amesema kuwa “Tupo na ukaribu ila sio wa mapenzi, sasa hivi ana wanaume zake anaendelea nao na mimi nina wanawake wangu, japo tunaonana na tunaongea hata nikitaka kwenda kwake na najua hawezi kunikataa”.

Post a Comment

0 Comments