Harry Kane akubali kudhamini jezi za timu yake ya zamani

Nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane amekubali kudhamini jezi za timu yake ya zamani Leyton Orient msimu ujao, katika mpango wa timu za LeagueTwo nchini humo kusaidia mapambano dhidi ya janga la corona.

Post a Comment

0 Comments