Mbrazil wa Simba SC Fraga amuoa Eduarda Franca

Kiungo wa Simba SC raia wa Brazil Gerson Fraga amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Eduarda Franca, Fraga amefunga ndoa na Eduarda kwa mujibu wa picha alizoziweka katika ukurasa wake wa instagram, mrembo huyo na Fraga kabla ya ndoa walikuwa wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.

Post a Comment

0 Comments