Mchezaji soka Ufaransa aingia matatizoni kwa kujichua

Winga wa kimataifa wa Algeria Farid El Melali ,22, anayeichezea club ya Angers ya ncUfaransa aingia kwenye kashfa nzito baada ya kushitakiwa kwa kujichua hadharani.
Siku ya Jumatatu ambayo ametoka kupewa mkataba mpya wa kuitumikia Angers hadi 2023, Angers ni miongoni mwa club shiriki za Ligi Kuu Ufaransa ( Ligue 1).
Katika utetezi alioutoa Farid El Melali anasema kuwa hakujua wakati anafanya tukio hilo kulikuwa kuna watu zaidi yake, mwanasheria wake Sandra Chirac-Kollarick anasema mteja wake hakuwa amemlenga mtu yoyote.

Post a Comment

0 Comments