Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa, meneja udhibiti kusimamishwa kazi, uchunguzi kufanyika

Kufuatia hotuba ya Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muunganoi wa Tanzania ya tarehe 3 Mei, 2020 wakati akimwapisha Waziri wa Katiba na Sheria, ambapo pia alibainisha changamoto za utendaji wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) amechukua hatua zifuatazo.

Post a Comment

0 Comments