Msanii na mtangazaji wa Clouds Plus Mwijaku ametoa maoni yake kuhusu mtangazaji Jonijoo kuondoka wasafi na kujiunga Efm.

Mwijaku amesema kuwa Jonijoo ni kijana mdogo bado ambaye hana mafanikio makubwa angetakiwa kutulia Wasafi au TimesFm atengeneze jina na aweke alama lakini ana tamaa za pesa.
Ameongeza kuwa wanaolalamika hawalipwi na Diamond Wasafi wao wanainufaisha nini kampuni?

Post a Comment

0 Comments