Sarah atetea penzi lake kwa Harmonize


Mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Harmonize’, Sarah Michelotti amefunguka na kusema anampenda sana mwanamuziki huyo.
Kauli ya Sara imeuja baada ya maneno kuonea mtandao wa kijamii kuwa mwanamuzik huyo anatoa mapenz na Ncole.
Sarah amesema kutoka moyoni mwake kila tone la penzi lake la dhati lipo kwa jamaa huyo kiasi ambacho anaamini yeye ndiye ameushikilia moyo.
“Kiukweli ninampenda sana na ninama-anisha. Kuna wakati najiona kabisa moyo wangu ameushikilia yeye,” amesema Sara.

Post a Comment

0 Comments