Akiongea katika kipindi cha #TheSwitch kinachoruka Wasafi Fm Suma Lee amesema kuwa @sallam_sk alikuwa hapendi muziki wa kuimba alikuwa anapenda muziki wa Hip hop lakini MR NICE ndio alimfanya aupende muziki huo.
Suma Leo ameongeza kuwa @sallam_sk alitaka kuwasimamia kwa pamoja @officialalikiba na @diamondplatnumz lakini ilishindikana baada ya @sallam_sk kukutana na @officialalikiba
0 Comments