Ujumbe wa Diamond Platnumz wa Sallam


Mwanamuziki wa Bongo Fleva  Diamond Platnumz  amemuandikia ujumbe Meneja wake Sallam katika kumbukumbu ya tarehe yake ya kuzaliwa.
Diamond Platnumz amemsisitiza Meneja wake kuzidi kupambana mpaka dunia nzima iongee kiswahili na ielewe nini maana ya muziki wa Bongo Fleva.
Zaidi Diamond Platnumz ameunganisha na maneno haya ambayo yeye ameyaandika kwa lugha ya Kingereza ambapo amesema:
“Tofauti yetu na wao ni kuwa sisi tunafanya kwa kupenda toka moyoni kwa kuwa tumezaliwa kufanya hivyo.
Ila wao wanafanya kuonesha watu mwisho wa siku wanaishia kupoteza kwa sababu wana Copy kila kitu”.

Post a Comment

0 Comments