Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine 12 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi kufikia 260, waliopona wamefikia 63 na hakuna kifo>>”Madereva wa Malori 32 ambao nao wamebainika kuwa na corona tayari tumewarejesha kwenye Nchi zao”